Movement

Genfest Tanzania 2024



DESCRIPTION

Genfest ni mkutano wa vijana ambao wanataka kuonyesha ulimwengu kwamba udugu wa wote, na
ulimwengu wenye umoja unawezekana .Kwa miaka mingi, Genfest limekuwa tamasha kubwa la mawazo na matendo yanayowatia moyo maelfu ya vijana kubadilisha mtindo wa maisha yao. Ni mwaliko wa kujenga madaraja ya udugu na kuchangia kuvunja vizuizi vya kutojali, ubaguzi na ubinafsi. Ilizaliwa 1973 na Chiara Lubich, mwanzilishi wa Focolare, movement. Genfest mwaka 2024 Kauli mbiu ni "pamoja tunajali".
 



Your name
Not sure how to create your personalized DP
To create your personalized DP

1. Tap the avatar to upload your photo (Square photos are recommended to avoid clipping)

2. Enter your name in the text field

3. Once image is uploaded and you are satisfied with the preview, click "Generate my DP"



Comments